Habari za Punde

*BONANZA LA NATIONAL YOUTH ANTI HIV/AIDS TZ HEALTH (THPI) LANAFA DAR

Mchezaji wa timu ya PSPF, Ramadhan Mokil (kulia) akimiliki na kumtoka beki wa timu ya Chuo Kikuu cha Muhimbili, wakati wa michezo ya Bonanza ya Maadhimisho ya Wiki ya siku ya Ukimwi duniani, lililoandaliwa kwa ushirikiano wa ‘National Youth Anti HIV/AIDS Commettee kwa kushirikiana na Tanzania Health Promotion Initiative (THPI), lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Posta Kijitonyama Dar es Salaam leo. Muhimbili ilishinda mabao 3-1.
Mchezaji wa timu ya PSPF, Edward Nkoma (kushoto) akiwania mpira na Innocent Mbugi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili, wakati wa michezo ya Bonanza ya Maadhimisho ya Wiki ya siku ya Ukimwi duniani, lililoandaliwa kwa ushirikiano wa ‘National Youth Anti HIV/AIDS Commettee kwa kushirikiana na Tanzania Health Promotion Initiative (THPI), lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Posta Kijitonyama Dar es Salaam jana. Muhimbili ilishinda mabao 3-1.
Kipa wa Chuo Kikuu cha Muhimbili, akiruka kuokoa moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake na wachezaji wa PSPF, wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.