Habari za Punde

*JAKAYA AKABIDHI UENYEKITI WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki anayemaliza muda wake, Rais Dr.Jakaya Kikwete, akikabidhi uenyekiti wa jumuiya hiyo kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wa kumi na mbili wa kilele wa wakuu wa nchi za jumuiya hiyo uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha leo jioni. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.