Habari za Punde

*CHUMA CHAKAVU CHAPANDA BEI

Bei za vyuma chakavu kama zinavyoonekana katika ubao wa matangazo ya Ofisi hii ya kununua na kuuza bidhaa hiyo iliyopo Tandale Dar es Salaam, ambavyo kwa sasa zimepanda, jambo ambalo litaongeza wizi wa vifaa vya watu mitaani na vyombo kupitia mateja na watu wanaopita katika mitaa kukusanya bidhaa hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.