Habari za Punde

*MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE

Wasukuma mkokoteni wakijaribu kusukuma mkokoteni wao uliosheheni mzigo ili kukatisha msingi wa Barabara eneo la Soko la Kisutu Dar es Salaam leo, jambo lililofanya mizigo hiyo kuanza kuporomoka kwa watu hao kuelemewa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.