Habari za Punde

*HAMIS MA-SMS ATINGA MKOANI IRINGA KUMWAGA MAHELA YA ZANTEL

Hamis Ma-SMS (katikati) akinunua kuku kwa mchuuzi kwa ajili ya kumpatia msada Bi Mvulla (kushoto) baada ya kuingia mkoani Iringa katika Soko Kuu la Manispaa ya Iringa leo mchana.
Hapa akilipa na kukabidhiwa bidhaa alizonunua katika soko hilo ikiwamo na Nyama.
Hamis Ma-Sms, akikatiza katika maeneo mbalimbali ya soko hilo kutafuta bidhaa.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.