Habari za Punde

*BENKI YA BACLAYS WAPONGEZANA KUMALIZA MWAKA

Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Barclays Tanzania, Ajay Mathur, akimkabidhi zawadi ya ‘COO Award’, mfanyakazi wa benki hiyo, Theresia Kahesa, wakati wa hafla ya kumaliza mwaka iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana jioni.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania,Eutropia Mwambeleko (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mkuu Uendeshaji waMatawi ya Benki hiyo, Thuweba Mohamed katika hafla ya kumaliza mwakailiyofanyika jijini Dar es Salaam jana jioni.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.