Habari za Punde

*MASHOSTI WANAPOKUTANA BAADA YA KUTOONANA MUDA MREFU

Hapa ni full 'Umbea' tu yaani baada ya kutoonana kwa kipindi kirefu mashosti hawa leo walifumaniana Mitaa ya Posta na kufurahi pamoja huku wakipiga stori na kucheka na kukumbushana enzi zao, ebwana eeh! ilikuwa ni burudani tosha kama ungebahatika kuwaona jinsi walivyokuwa wakifurahi na kupiga stori, hongereni kwa kuonana kipindi hiki kuelekea sikukuu ya Krismasi na kumaliza Mwaka Mpya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.