Habari za Punde

*KWEUPEEEEEEE, UPANUZI WA BARABARA

Barabara ya Bagamoyo eneo la Tang Bovu likiwa wazi baada ya kukatwa kwa miti iliyokuwa pembezoni mwa barabara hiyo, ili kupisha upanuzi wa barabara inayotarajia kuanza kujengwa hivi karibuni kwa barabara hiyo kutanuliwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.