Habari za Punde

*CUF WATAWANYWA NA MABOMU, WAZUILIWA KUANDAMANA DAR

Gari la Polisi lenye maji ya kuwasha likiwa katika mwendo mkali kuelekea Buguruni ambako waandamanaji wa Chama cha CUF, walijiandaa kuanzia Maandano ya kudai Mabadikio ya Katiba mpya leo asubuhi, hata hivyo waandamanaji hao walitawanywa na mabomu na risasi zilizopigwa na askari Polisi waliokuwa wamejipanga kudhibiti maandamano hayo kutofanyika.
Wafuasi wa CUF, wakipanga mikakati kabla ya kutawanywa, eneo la Buguruni leo.
Askari wa kuzuia ghasia FFU, wakiwa eneo la tukio wakiwasubiri wanachama hao kuanza maandamano kabla ya kuanza kuwatawanya.
Wote hawa hakuna aliyebaki baada kuanza tifu la kuawatawanya yaani 'kiliponuka'




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.