Habari za Punde

LADY JAY DEE AZINDUA MAJI YAKE YA CHUPA 'LADY JAY DEE'

Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Judith Wambura (Lady Jay Dee), akionyesha chupa ya maji wakati alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, alipokuwa akizindua rasmi maji yake ya Chupa yanayojulikana kwa jina la Lady Jay Dee. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Paradise City jijini leo mcahan.
Chupa za maji hayo jinsi zinavyoonekana, huu ndiyo Muonekano wake.
Jay Dee akipozi na chupa zake za maji baada ya uzinduzi huo.
Jay Dee akipozi kwa picha naMashosti wake baada ya uzinduzi huo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.