Habari za Punde

*MCHEZO WA MIX FIGHTER KUFANYIKA KESHO MLIMANI DDC

Mabondia David Michael 'Zola D' (kushoto) na Swedy Willson 'Kiza Kinene, wakitunishiana misuri wakati wa zoezi la kupima uzito ikiwa ni maandalizi ya pambano lao la raundi tano la mchezo wa Mix Fighter, unaotarajia kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mawasiliano wa kampuni ya Aurola Security, Shomari Kimbau.
Mabondia David Michael 'Zola D' na Swedy Willson 'Kiza Kinene, wakipima uzito ikiwa ni maandalizi ya pambano lao la raundi tano la mchezo wa Mix Fighter, unaotarajia kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa kampuni ya Aurola Security, Shomari Kimbau.
Bondia wa uzito wa Midle, Francis Miyeyusho, akipima uzito kwa ajili ya pambano lake la raundi 6 na Fabian Lampard, katika mchezo wa unaotarajia kufanyika leo kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge iki wa ni pambano la utangulizi kabla ya mpambano wa Mixi Fighter wa raundi 5 kati ya David Michael Mrope ‘Zola D’ na Swedy Willson ‘Kiza Kinene’.
"EEH! BWANA MCHEZO FURAHA NGUMI SI UHASAMA"
Mabondia hao wakichati kwa pamoja katika Laptop, baada ya kumaliza zoezi la kupima uzito, Yes hii ndo yenyewe bwana, upinzani ni ulingoni tu nje ya hapo urafiki unaendelea kama kawa, ila kesho Msituyeyushe mkaleta kujuana ohoooo!.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.