Habari za Punde

*FILAM MPYA YA SHUJAA WA NAFSI IKO NJIANI MDAU KAA MKAO WA KULA

Hawa ni baadhi ya washiriki Mastaa katika Filam hiyo inayokwenda kwa jina la 'Shujaa wa Nafsi', inayoelezea stori ya maisha ya tabu na mapenzi, (kushoto) ni Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Q-Chillah na Paul Katambo 'Katumpa', wakiigiza sehemu ya vipande vya filami hiyo inayotarajia kukamilika Januari mwakani.
Katampo, akiwa na baadhi ya madada walioshiriki filamu hiyo,
Q-Chillah na Katampo, wakitunishiana misuli...
Hawa ni baadhi tu kati ya washiriki waliofanikisha kukamilika kwa Filamu hiyo, ambayo inafanyiwa finishing huko Majuu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.