Hili ni Jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya misa maaluma ya kuliombea Taifa 'Mkesha Mkubwa wa Kitaifa', unaoendelea na utafikia kilele baada ya kuupokea mwaka mpya wa 2011 na kuuaga 2010, ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, ambaye anatarajia kuwasili katika Uwanja huu wa Uhuri mishale ya saa 5:30 usiku huu.
Wakazi wa Jijini Dar es Salaa, waliojitokeza kwenye Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya Ibada maalum ya Kitaifa.
Waumini wakiendelea na ibada kabla ya kuukaribisha mwaka na mgeni rasmi.

No comments:
Post a Comment