Habari za Punde

*MAMA SALMA ATIMIZA MIAKA 47, JK AGEUKA 'SHAKASHIA WA TWANGA'

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga gitaa wakati wa hafla ya wanafamilia iliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumpongeza mkewe Mama Salma Kikwete kwa kutimiza miaka 47.

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimlisha keki Mama Salma Kikwete wakati wa hafla fupi ya kifamilia ya kumpongeza Mama Salma kwa kutimiza miaka 47, ikulu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.