Makamu wa Rais vwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoadhimishwa leo Kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.
Mkuu wa utafiti wa maabara ya kuchunguza virusi vya ukimwi Wilayani Ifakara, Boniphace Jullu, akimfahamisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, kuhusu matumizi ya baadhi ya vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Ukimwi alipotembelea mabanda ya maonesho katika maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani iliyofanyika Kitaifa Mkoani Morogoro le.
No comments:
Post a Comment