Habari za Punde

*WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL WATAMBULISHWA

Meneja Mwajili wa Giraffe Ocean View Hotel,Elsis Mtenga akiongea kwa niaba Mkurugenzi mkuu wa Hotel hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika hotel Giraffe Ocean View, Jijini Dar leo.

Baadhi ya Washiriki wa shindano la Giraffe Unique Model wakiwa katika pozz wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika hoteli ya Giraffe Ocean View.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.