Habari za Punde

*KIJANA ASAFIRI KWA BAISKELI GEITA-DAR, KUMPONGEZA KIKWETE

Rais Dk. Jakaya Kikwete, akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mussa Lunyeka, kutoka kijiji cha Chabulongo, Kata ya Kasamwa, Geita, wakati alipowasili Ikulu kumpongeza Rais kwa kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Kijana huyo mkulima, aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita kuja Dare s Salaam, alipata wasaa wa kuzungumza na Rais Kikwete ambaye alimpongeza kwa moyo wake wa uzalendo na kuahidi kumpatia msaada wa kuboresha shughuli zake za kilimo. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.