Habari za Punde

*WAZIRI WA ELIMU AANZA KAZI, APOKEA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akizungumza na wafanyakazi wa wizara hiyo, wakati alipokuwa akisikiliza taarifa ya utekelezaji wa Taasisi 11, Idara 9 na Vitengo 5 vya wizara hiyo, alipowasili ofisini kwake leo tangu alipoapishwa hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Waziri, Phillip Muhigo (kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Hamis Diengo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.