Habari za Punde

*LAW SCHOOL SITE HANDOVER

Mchumi Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Anna Mayawalla na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group ya China, Jia Jianhui, wakitiliana saini hati ya makabidhiano ya eneo la ekari 23 jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) hivi karubuni. Ujenzi huo utakaogharimu shilingi 16/- bilioni unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2012 na unagharamiwa na Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria (LSRP).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.