Habari za Punde

*MOTO WATEKETEZA SOKO LA UHINDINI MBEYA

Moto mkali ukiendelea kuwaka na kuteketeza Soko Kuu la Uhindini mjini Mbeya, Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika.
Baadhi ya wafanyabiasha katika Soko hilo, wakipakia bidhaa zao katika magari ili kujitahidi kuokoa angalau baadhi ya mali zao.
Ilikuwa ni mshike mshike huku kila mfanyabiashara katika Soko hilo akijaribu kuokoa mali zake.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.