Habari za Punde

*TCRA KESHO KUFANYA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA UTANGAZAJI TZ

Mkurugenzi Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Habbi Gunze, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa miaka kumi ya siku ya Utangazaji Nchini utakaofanyika katika Hotel ya Kunduchi jijini leo. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Rehema Makuburi. Kushoto ni Mejena Mawasiliano wa Mamlaka hiyo, Innocent Mungy.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.