Habari za Punde

*MDAU JE WAIJUA BARABARA HII?

Hapa si pengine bali ni eneo la Jangwani inayojengwa barabara inayopitia Kigogo hadi Ubungo, ikiwa tayari imeanza kujengwa kwa kiwango cha lami ambapo imeshajengwa kwa umbali wa kilometa kadhaa kutoka daraja la Viwanja vya Jangwani hadi karibi na daraja la Kigogo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.