Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI WA VIWANDA, LAZARO NYALANDU, AZINDUA NDEGE 2 ZA BOLD AIR DAR

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu (kushoto) akikata utepe kuzindua ndege aina ya Cessna 310, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo na ndege nyingine aina ya Seneca 1, za Kampuni ya Bold Air uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ya Bold Aviation, John Ndungulu.
Moja ya ndege hizo kati mbiliz zilizozinduliwa leo, ambazo ni za mfanyabiashara John Ndungule.
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu (kulia) akipanda ndege ndogo aina ya Cessna 310, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo na ndege nyingine aina ya Seneca 1, za Kampuni ya Bold Air uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, John Ndunguru.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.