Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWAAPISHA MAJAJI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman Abdallah


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.