Habari za Punde

*TBL YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA KLABU ZA YANGA NA SIMBA

Mkurugenzi Masoko TBL David Minja(katikati) akikabidhi viafaa vya michezo kwa Katibu wa Klabu ya Simba Evodius Mtawala (kushoto) na Katibu wa Yanga Lawrance Mwalusako (kushoto kwake) wakati wa hafka hiyo ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Vilabu hivyo kwa maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara inayotarajia kuanza January 15 mwakani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.