Habari za Punde

*WASHIRIKI WA BONGO STAR SEARCH WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO LEO

Mkurugenzi wa Kampuni wa Benchmark Production, Ritha Poulsen, akimkabidhi kitita cha fedha mshindi wa tano wa fainali za Shindano la Bongo Star Search, Waziri Salum, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika kwenye Jumba la Kili Bongo Star Search jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.