Habari za Punde

*SASA JIJI ANGALAU LINARIDHISHA KWA USAFI

Gari la kubebea taka la Kampuni ya HAWDA, likipita mitaa ya katikati ya mji Posta Mpya Dar es Salaam kukusanya usafi, ikiwa ni sehemu ya jitiada za Manispaa za jijini kuimarisha usafi katika mitaa
Hapa ni Barabara ya Azikiwe katikati ya Mji, kama unavyoona hali ya usafi inaridhisha wabongo inabidi tuelimike na tuelimishane kuhusu usafi wa mazingira.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.