Habari za Punde

*SHINDANO LA GIRAFFE UNIQUE MODEL KUFANYIKA KESHO

Lile Shindano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa urembo, hatimaye limefikia patamu ambapo kesho ataweza kupatikana mkali wa shindano hilo litakalofanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, huku likipambwa na burudani kutoka kwa Z-Anto na wasanii ibao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.