Habari za Punde

*SHULE YA SEKONDARI JOHN BAPTIST KUSOMESHA BURE WANAFUNZI WANAOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya John Baptist iliyopo Boko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Holines Kwayu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu, mpango endelevu wa 'Scholarship' wenye lengo la kuwasomesha buru wanafunzi watakaokuwa wakifanya vizuri katika masomo yao baada ya kufanyiwa test za mwaka.
Kwayu alisema kuwa baada ya kupewa mitihani kila mwanafunzi atakayekuwa akipata alama 90 hadi 100, atakuwa ameingia moja kwa moja katika mpango huo, ambapo kila mwaka watakuwa wakichukuliwa wanafunzi watano.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.