Habari za Punde

*WAZIRI MAKAME AFANYA ZIARA SHIRIKA LA POSTA LEO

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akisikiliza maelezo ya Posta Masta Mkuu, Deus Mndeme, wakati alipofanya ziara ya kutembelea Shirika la Posta jijini Dar es Salaam leo na kuelezwa mikakati ya shirika hilo ikiwa ni pamoja na mpango wa ulipaji madeni yanayolikabili shirika hilo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Idrisa Killangi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.