Habari za Punde

*SIMBA YAICHAPA AFC LEOPARD 2-0

KIKOSI CHA SIMBA.

Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam, leo imeonyesha uwezo na kuwafurahisha mashabiki wake baada ya kuiadhibu kwa mabao 2-0, timu ya ADC Leopard ya Kenya ambao walikuwa ni mabingwa wa zamani wa Afrika Mashariki na Kati, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni. Hadi mapumziko, tayari Wekundu wa Msimbazi walikuwa mbele kwa mabao hayo 2-0, yaliyodumu hadi kumalizika kwa mchezo huo bila mabadiliko ya ubao wa idadi ya magoli.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.