Habari za Punde

*SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AWASILI DAR AKITOKEA NAMIBIA

Spika wa Bunge, Anne Makinda akipokewa na wanachama wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Samaa leo mara baada ya kuwasili uwanjani hapo akitokea Namibia kuhudhuria mkutano wa Bunge la SADC.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.