Habari za Punde

*WAJASILIAMALI WAVUMBUA GARI LA AJABU SUMBAWANGA

Gari hili lenye uwezo wa kubeba abiria saba limetengenezwa Mkoani Sumbawanga na mmoja kati ya wajasiliamari, ambalo lilifikishwa katika maonyesho ya Sido ya mikoa ya nyanda za juu kusini yaliyokuwa yakifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa. Gari hili liliweza kuwavutia watu wengi katika maonyesho hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.