Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (katikati), akihutubia wakati wa hafla ya wafanyakazi kusherehekea uzalishaji na kuvuka malengo ya mauzo ya vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda hicho, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TDL, JosephChibehe na Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala, Mustafa Nassoro.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limite (TDL), wakifungua kinywaji aina ya Chamdol ikiwa ni ishara ya kufurahia mafanikio ya kuvuka lengo la mauzo ya idhaa za kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi. Kutoka kushoto ni Halima Nassor, Majid Shomari na Elizabeth Mhamiji.
No comments:
Post a Comment