Habari za Punde

*TAABU YA MAJI DAR MPAKA LINI?

Wakazi wa Kibamba Magari Saba, wakiwa kwenye foleni ya kukinga maji katika bomba lililokatika eneo hilo ambalo limetengneza dimbwi na maji hayo kutililika muda wote. Wakazi wa maeneo hayo wanakabiliwa na tatizo la maji kutokana kutofikiwa na miundimbinu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.