Habari za Punde

*tiGO YATOA MSAADA YA KOMPYUTA KWA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi Tigo, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa kompyuta 10 zenye thamani ya sh. milioni 12 kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Visiwani, Prof Mustafa Roshash (watatu kushoto) na mmoja wa wanafunzi wa Chuo hicho, wakati wa hafla fupi ya kukabidhizawadi hizo iliyofanyika jana chuoni hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.