Habari za Punde

*SPIKA WA BUNGE AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YAKE DODOMA

Spika wa Bunge, Anna Makinda, (wapili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa mjini Dodoma kutoka msimamizi wa Kampuni ya ujenzi ya Pacha Building Construction, Mussa Ngasa, wakati Spika huyo alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo leo. Jengo hilo linaloendelea kujengwa.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.