Habari za Punde

*MAMBO YA SAMAKI SAMAKI HAYA

Eeeh! ndiyo kila baada ya kazi inabidi kupumzisha akili kwa kujumuika na ndugu jamaa na marafiki sehemu kama hizi, waha ni waandishi wa habari wakipozi kwa picha wakati wakipata moja mbili katika Pub ya Samaki Samaki iliyopo Mlimani City Mwenge siku ya mkesha wa Sikukuu ya Krismas. Kutoka (kushoto) ni Zuhura, Ester na Naniliu, wakipozi.
Na hapa ni William na Ester nao wakipozi kimodel....


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.