Mpiga Kinanda wa bendi ya Akudo Impact, Andrew Sekidia (kulia) akicharaza kinanda na kumpandisha midadi mwimbaji na kiongozi wa bendi hiyo, Christian Bella, wakati wa onyesho maalum la Sikukuu ya Krismas, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Msasani Beach Club jana usiku.
Mwimbaji wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Charls Baba, akiimba jukwaani wakati wa onyesho la Krismas, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jana usiku.
Mwimbaji wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Charls Baba, akiimba jukwaani wakati wa onyesho la Krismas, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jana usiku.
Mnenguaji na Mpiga gitaa wa bendi ya Akudo wakishambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo
No comments:
Post a Comment