Habari za Punde

*VIBINDO SACCOS, WAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Akiba na Mikopo ‘Vibindo Saccos’, Zacharia Minja, akizungumza na wanachama wa chama hicho, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kujadili Mapato na matumizi ya mwaka 2010 na kupitisha makadilio ya fedha ya mwaka mpya wa fedha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.