Habari za Punde

*NURDIN BAKAR AIPATIA BAO LA PILI KILIMANJARO STARS

Kiungo mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Nurdin Bakar, ameipatia bao la 2 timu yake katika dakika ya 75 ya mchezo wa Kombe la Challenge, baada ya krosi nzuri iliyopigwa na Beki wa kulia wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa na kujitwisha tena kwa kicha kama ambavyo aliweza kufunga bao la kwanza kwa kichwa na hivyo kufuta kosa lake la kukosa bao la wazi alilokosa kwa kupiga nje kwa mguu katika kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.