Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 190, Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye, ikiwa ni kwa ajili ya udhamini wa mashindano ya kombe la Tusker, kuanzia hatua ya Robo Fainali. Katikati ni Makamu Rais wa TFF Athumani Nyamlani.
No comments:
Post a Comment