Habari za Punde

*ZANTEL YAFANIKISHA MASHINDANO YA GOFU YA KILA MWEZI GYMKHANA

Oisa Mkuu wa Kiufundi Zantel, Moncef Mettiji (kulia) akikabidhi zawadi ya kikombe na simu mpya aina ya Blackberry yenye muda wa maongezi kwa Adam Ngamilo aliyeibuka mshindi wa mashindano ya mwezi ya gofu ya klabu ya Gymkhana yaliyodhaminiwa na kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam jana.
Ofisa Mkuu wa Kiufundi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Moncef Mettiji akishiriki kwenye mashindano ya gofu ya kila mwezi ya klabu ya Gymkhana yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho wa wiki yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.