Habari za Punde

*MAMA SALMA AKUTANA NA RAIS WA JHPIEGO LEO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia) akimkabidhi zawadi ya picha Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Jhpiego Dr. Leslie Mancuso mara baada ya kufanya mazungumzo na mgeni huyo katika ofisi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, leo mchana. Picha na John Lukuwi-MAELEZO


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.