Aliitaja ratiba hiyo ya Fainali za Ligi ya Daraja la kwanza kuwa kama ifuatavyo.
Mchezo wa kwanza utakuwa ni :- Rhyno Rangers ya Tabora na TMK United.
Mchezo wa pili ni :- Polisi Dodoma na Moro United
Mchezo wa tatu ni:- Villa Squard na Coast Union
Mchezo wa nne ni:- Moran Fc ya Manyara na JKT Oljoro
Mchezo wa tano ni:- Tanzania Prisons na Rhyno Rangers ya Tabora
No comments:
Post a Comment