Hivi ndvyo ubao wa magoli ulivyokuwa ukisomeka yaani wasimamizi wa mchezo huo hawakuweka ubao wa magoli kama ambavyo imekuwa katika michezo mingine kama ilivyozoeleka wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga na Afc ya Arusha uliochezwa majuzi kwenye Uwanja wa Uhuru. Leo pia ni mchezo mkali tu uwanjani hapo kati ya Simba na Azam je mambo haya yatakuwa ni kama mchezo uliopita jibu litatoka jioni baada ya mechi. Na hata Benchi la wachezaji pia kwa timu zote mbili yaani eneo la wachezaji na viongozi wa timu pia halikuwapo sasa sijui hii ni kutokana na ukarabati unaotaka kufanywa katika uwanja huo ama la? Lakini kama hivi ndivyo Ukarabati wa uwanja huo na maandalizi ya mchezo na hususan vitu muhimukama hivyo katika mechi vianhusiana vipi na ukarabati wa uwanja? Ama wasimamizi ndiyo wazembe???? Nahitaji jibu wadau.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 24, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 24,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za M...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment