Vijana wakishusha mzigo wa magazeti yaliyofika Mahakamani hapo katika gari la Tani tatu na nusu kwa ajili ya ushahidi wa kesi hiyo. Miongoni mwa Magazeti hayo ya vyombo vya habari mbalimbali vya nchini mengi ni yale yaliyokuwa yakichapisha habari za kawaida zisizomchafua Manji tangu mwaka 2006 hadi 2011 machache ni yale yaliyokuwa yakichapisha habari zinazomchafua Manji kwa kipindi kama hicho cha tangu 2006 hadi 2011.
TUME YATANGAZA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UCHAGUZI, YATENGUA WAGOMBEA
-
*Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs
Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo Okt...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment