Mtuhumiwa wa kesi ya upotevu wa fedha za Shirika la Umeme Tanesco, (kushoto) akiwa kwenye Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana wakati akisubiri kusikiliza kesi yake. Mtuhumiwa huyo akiwa na washitakiwa wengine leo walikuwa mashujaa wa kukwepa kamera za mapaparazi kila zilipowalenga mahakamani hapo kama unavyowaona hapa wote wakiwa wamejifunika khanga.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 24, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 24,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetin...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment