Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS KABILA KINSHASA

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Joseph Kabila, wa Jamhuri ya Democrasia ya Congo (DRC) jijini Kinshasa jana jioni. Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Kinshasa akitokea Abidjan, Ivory Coast na kufanya mazungumzo na Rais Kabila.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.