Habari za Punde

*WAPARESTINA WATUA DAR KUKIPIGA NA TAIFA STARS

Wachezaji wa timu ya taifa ya Palestina wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam baada ya kuwasili jana kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars utaofanyiaka kesho kutwa katika Uwanaj wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.